gif-to-show

Karibu

Tunza Familia Chat

gif-to-show

Hii ni kampeni ya afya kwa umma kutoka kitengo cha kuhamasisha afya kilicho chini ya Wizara ya Afya ya Tanzania kwa kushirikiana na asasi isiyo ya kiserikali ya Development Media International.

Tunatumia aplikesheni ya WhatsApp kutuma jumbe fupi fupi na miongozo mbalimbali kwa watumiaji kwa maswali ya papo kwa hapo kuhusu huduma za afya ya uzazi, ukuaji wa mtoto, lishe, na magonjwa makubwa ya watoto (kama vile malaria, homa ya mapafu, na kuhara).

chat-qr-code

SKANI ILI KUCHAT SASA